CHOMBEZO : MAMA MWENYE NYUMBA....EPISODE-07



CHOMBEZO : MAMA MWENYE NYUMBA
EPISODE-07
ILIPOISHIA.
“Mwee, ulimi wako una kajoto kazuri,” alisema mama Joy huku akimung’unya mate ya mzoa taka huyo ambaye mwenyewe alikuwa akijiuliza ni kwanini mwanamke huyo mwenye mume tajiri ameangukia kwake tena mchafumchafu asiye na thamani mbele za watu.
JIACHIE MWENYEWE SASA.
Mzoa taka aliwaza jinsi wanawake mitaani wanavyomkataa kwa sababu ya uchafu wake na mibangi anayovuta…
“Mm…au mganga wake alimwambia atembee na mwanaume mchafumchacfu nini?” alijihoji mwenyewe.
Mama Joy, licha ya kulala na kuamka na mlinzi wake, lakini muda huo alijikuta akichemka kwa kutaka penzi tena.
Alimshika mzoa taka na kumlaza pembeni ya dude la taka, akamvua nguo, akavua na zake, wakaanza ligi ya mapenzi huku mwanamke huyo akimiminika wingi wa maneno ya mahaba.
Mlinzi, yaani Fuko alihisi kuna kitu kinachoendelea kwenye dude la taka kwa vile toka bosi wake huyo alivyomshika mkono mzoa taka na kuzama naye maeneo hayo hakurejea tena, hakujua kama mzoa taka alipelekwa hadi jikoni akala pilau na maziwa.
Alisukuma geti kulifunga lote kisha akaanza kutembea kuelekea kwenye dude la taka, aliamini atakutana na fumanizi japo akili nyingine ilimwambia endapo atawafumani kweli ajue na kibarua kitakuwa kimeota nyasi.
Upande mwingine alijua hawezi kufukuzwa kwa sababu ishu si ya kikazi ila wivu wa kimapenzi…
“Ilitakiwa alale na mimi halafu mzoa taka kaja anampapatikia vile, lazima kuna kitu wanakifanya,” alisema moyoni mlinzi.
Alipotokea kwa mbali alianza kuona miguu minne ikiwa imefungana pamoja, akashtuka…
“Si nilisema mimi,” alisema moyoni. Miguu hiyo ilikuwa ikipishanapishana kwa kuingiliana kwa staili mbalimbali. Mlinzi aliweza hata kujua miguu ya mzoa taka ni ipi na ya tajiri yake ni ipi.
Alichofanya, alikimbilia jikoni kwa mfanyakazi wa ndani…
“Dada nanihii, nenda kwenye dude la taka haraka sana ukaone…”
“Kuna nini kwani Fuko..?”
“Nimekwambia we nenda, husikii…”
“Sasa nitakimbilia sehemu kutazama kitu ambacho sikijui, pengine nikikiona kitu kibaya je?”
“Shauri zako,” alisema mlinzi na kutoka.
Nyuma, mfanyakazi huyo aliamua kwenda kwenye dude la taka huku akili yake ikiwa haiwazi atakutana na kitu gani.
“Ha..!” alishtuka sana mfanyakazi huyo ambaye kiumri alikuwa amempita mama Joy.
Mama Joy naye alishtuka kusikia hamaki ya mfanyakazi wake, akamsukuma mzoa taka kisha yeye akasimama haraka sana huku akihema kwa kasi…
“Mama…” alisema yule mfanyakazi…
“Mama nini? Unasemaje kwanza?”
Mfanyakazi alikimbilia ndani huku akilia. Kwake yeye kitendo alichokiona alikichukulia kama nuksi au mkosi, pia alihisi kujidhalilisha nafsi kwani hakukitegemea..
“Yaani bosi! Anazini na mtoto mdogo yule! Tena mchafuuu! Mh! Ama kweli dunia imekwisha! Loo!” mfanyakazi huyo alisema hayo moyoni mwake.
***
Mama Joy, baada ya kumwona mfanyakazi wake amekimbia, alihisi heshima kubwa amepata…
“Mimi naona twende chumbani kwangu, hapa wala siko huru, kama ameanza kuja huyu anaweza kutokea mwingine,” mama Joy alimwambia mzoa taka…
“Chumbani mwako! Kitandani?” mzoa taka alishangaa na kumuuliza…
“Kwani kuna nini?”
Wakati mama Joy anamwambia mzoa taka kwani kuna nini, alishamshika mkono na kwenda naye kupita kwenye mlango mdogo wa nyuma ambapo si rahisi kuonwa na mtu.
Mlinzi pale getini alikwenda tena kwa kunyata hadi akafika eneo ambalo kuna nguzo nene, akasimama ili ajipange tena kwenda jirani na dude la taka…
“Safari hii nikiwakuta bado wanazini nawafumania, nitamwambia bosi habari hii nitamwambia mume wake akirudi safari, najua hatataka,” alisema moyoni mlinzi.
Alishangaa sana kutowakuta pale chini ya dude la taka, akabaki kutumbua macho pima huku akijiuliza ni wapi wawili hao wanaweza kuwa wamekwenda kumalizia kula ‘uraha’ wao…
“Au wamekwenda choo cha nje kule? Haiwezekani! Labda wamekwenda kule nyuma kabisa,” alisema huku akienda nyuma ya nyumba ambako pia hakuwakuta…
“He! Au wameingia ndani kabisa?”
Alikwenda jikoni, akamkuta yule mwanamke wa kazi amekaa kwenye kiti huku akilia…
“Nini tena? Amekufokea?”
“Mh! Siwezi kulia kwa kufokewa na tajiri wangu wa kazi hata siku moja, ila mimi nimemshangaa sana bosi, yule kijana ni mchafu sana halafu sijui anavuta bangi. Lakini eti yeye amelala naye kama mpenzi wake! Unajua sijawahi kusikia achilia mbali kuona,” alilalama mwanamke wa kazi…
“Kwani uliwakutaje?” mlinzi aliuliza…
“Wako ‘kazini’…”
“Walipokuona?”
“Mama akamsukuma yule kijana, halafu akaanza kunijia juu, mimi nikaondoka,” alisema mfanyakazi wa ndani huku akiangaliaangalia nje kwa tahadhari kubwa…
“Mama huyu…”
“Lakini we Fuko, mbona na wewe umelala kwa bosi usiku wa kuamkia leo?”
“Si ndiyo hapo sasa hata mi mwenyewe najiuliza, kwanini alale na mimi halafu alale na mzoa taka? Usikute ni mambo ya kishirikina,” alisema mlinzi…
“Kwani wewe ilikuwaje hadi mkalala kitandani na kuzini?”
“Alinitongoza..!”
“Alikutongoza..?”
“Sasa wewe dada unavyoona mimi naweza kumtongoza huyu bosi, nitaanzia wapi kwanza? Au unadhani mzoa taka alimtongoza? Huyu mama ni mtaalam wa kutongoza, huenda hata mumewe alimtongoza.”
***
Mama Joy alimtumbukiza chumbani kwake mzoa taka ambaye alifikia kushangaashangaa chumba kilivyo kikubwa na vitu vingi…
“Mh! Si nitachafua hapa leo?” ndani ya moyo wake aliamini hivyo…
Alimshika kijana huyo na kumuegemeza kifuani kwake huku akimwambia maneno matamu ya mahaba…
“Mpenzi wangu, nataka nikiachana na wewe leo nisitamani mwanamme mwingine mpaka ipite wiki moja, sawa?”
“Sijakulewa.”
“Nasema hivi, tukipanda kitandani sasa hivi ufanye mambo mazuri sana, nataka tukimaliza leo nisiwe na hamu ya mwanaume mpaka wiki moja ipite.”
“Sawa.”
Mama Joy alimvua nguo mzoa taka na kubaki na ‘kufuli’ tu, kisha akavua na za kwake. Alitangulia kupanda kitandani, mzoa taka akafuatia akiwa na wasiwasi, hamu ya mapenzi hakuwa nayo kama ilivyokuwa kule nje kwani mazingira ya chumba na alivyo yeye vilikuwa vitu viwili tofauti…
“Sijui ananisema mi mchafu sana,” aliwaza…
“Sasa mbona jogoo mwenyewe hawiki, una nini?” aliuliza mama Joy huku akijaribu ‘kumtoa’ jogoo kwenye banda ili aende nje akawike, lakini wapi!
“Kijana, una nini mpenzi wangu, mbona hivi..?”
“Hata mi sijui, lakini tungeenda kule nje kwenye majani ndiyo kuzuri…”
“Mimi nje siwezi, we si umeona hali ilivyokuwa kule nje, kwani tatizo lako nini?”
“Sina uhuru na humu chumbani kwako, kuko kama ikulu bwana…”
“Umewahi kufika ikulu wewe?”
“Si wanasemaga kuzuri sana…”
“Sasa ikulu hakuna wafanyakazi wa kufanya usafi?”
“Mi sijui, lakini bado naogopa sana…”
“Unamuogopa mume wangu..?”
“Hapana, ila ntachafua…”
“Nini..?”
“Mashuka yako, mi sijaoga toka juzi ilee.”
“Wala usijali, mfanyakazi yupo atafua mashuka, we tulale hapahapa, lakini fanya nilivyokwambia, nikomeshe kabisa leo,” alisema mama Joy huku akipeleka mkono kwenye jogoo la mzoa taka huyo.
Je nini kitaendelea SHARE ILI TUKUTANE JIONI.

Comments

Popular posts from this blog

*BABA KAMA PUNDA JAMANI*...EPISODE :1

CHOMBEZO: GODORO LA MTUMBA...EPISODE :02

CHOMBEZO: MAMA MWENYE NYUMBA: EPISODE YA 4